WikiElimu
WikiElimu 13 May 2020
1

Up next

Historia, dalili, sababu na matibabu ya ugonjwa wa Ebola
13 May 2020
Historia, dalili, sababu na matibabu ya ugonjwa wa Ebola
WikiElimu · 7 Views

Dalili za saratani ya matiti

3 Views

Dalili za saratani ya matiti zinaweza kujumuisha uvimbe ndani ya titi, mabadiliko ya ukubwa au umbo la titi na chuchu kutoa majimaji.
• Kuvimba kwa sehemu ya titi au titi lote (hata kama hakuna bonge unaloligusa)
• Kuchubuka na kubonyea kwa ngozi ya titi
• Maumivu ya titi au chuchu
• Kurudi ndani kwa chuchu
• Wekundu na kukakamaa kwa chuchu na ngozi ya titi
• Kutokwa na majimaji
Matatizo mengine ya kiafya yanaweza kusababisha dalili hizi. Ni daktari pekee anayeweza kutofautisha kwa uhakika. Mtu yeyote mwenye dalili hizi anapaswa kumwona daktari ili tatizo lake ligunduliwe mapema iwezekanavyo.

KUJIFUNZA ZAIDI
*Website:http://wikielimu.com/index.php....?title=Saratani_ya_m

TUFUATILIE
*Facebook:https://web.facebook.com/WikiElimu/?_rdc=1&_rdr *Instagram:https://www.instagram.com/wikielimu/
*Twittwer:https://twitter.com/hashtag/wikielimu

ASANTE SANA
#Wikielimu #Saratani_ya_matiti

Show more
0 Comments sort Sort By

Up next

Historia, dalili, sababu na matibabu ya ugonjwa wa Ebola
13 May 2020
Historia, dalili, sababu na matibabu ya ugonjwa wa Ebola
WikiElimu · 7 Views