Best Songs From Tanzania
15

Up next

NDIYE MWAMBA // Light Bearers Tanzania
29 Nov 2020
NDIYE MWAMBA // Light Bearers Tanzania
Choirs ECD · 2 Views

THE LIGHTBEARERS TANZANIA-TAJI MVIKENI OFFICIAL VIDEO

7 Views

Mtunzi:
Mwandishi:

Taji Mvikeni. Taji Nyingi Sana,
Kondoo Mwake Kitini, Bwana Wa Mabwana;
Nami Tamsifu Alikufa Kwangu,
Ni Mfalme Mtukufu, Seyidi Wa Mbingu.
Taji Mvikeni Mwana Wa Bikira;
Anazovaa Kichani Aliteka Nyara;
Shilo Wa Manabii Mchunga Wa Watu
Shina Na Tanzu Ya Yesu Wa Bethliehemu.

Taji Mvikeni Bwana Wa Mapenzi;
Jeraha Zake Ni Shani Ni Vito Nya Enzi,
Mbingu Haina Hata Malaika
Awezae Kuziona Pasipo Kushangaa!

Taji Mvikeni Bwana Wa Salama;
Kote – Kote Duniani Vita Vitakoma;
Nayo Enzi Yake Itaendelea,
Chini Ya Miguu Yake, Maua Humea.

Show more
0 Comments sort Sort By

Up next

NDIYE MWAMBA // Light Bearers Tanzania
29 Nov 2020
NDIYE MWAMBA // Light Bearers Tanzania
Choirs ECD · 2 Views