Aina za Upendo katika Mahusiano-Mch Caleb Migombo
64 Mga view
Mtemisi
06/25/19
#Mtangazaji
#AmazingGraceProductionTanzania
Kutokana na machapisho mbalimbali yaliyotolewa na wanafilosofia wa kigiriki PLATO na ARISTOTLE wao wameweza kuainisha aina 5 za upendo.
1.UPENDO WA WAZAZI KWA WATOTO au WATOTO KWA WAZAZI
2.UPENDO WA KUJIPENDA MWENYEWE (SELF LOVE)
3.UPENDO WA KIRAFIKI WA KAWAIDA (FRIENDSHIP LOVE)
4. UPENDO WA KAWAIDA (AGAPE LOVE)
5. UPENDO WA KIJINSIA(SEXUAL LOVE)
Katika video hii Mch Caleb Migombo toka North Carolina nchini Marekani anatachambua aina za upendo hii ikiwa ni sehemu ya kwanza ya mada hii.
-
Kategorya
Magpakita ng higit pa
Mga Komento sa Facebook
Walang nakitang komento