MTOTO WA JICHO |CATARACT:Dalili,Sababu,Matibabu
92 Visninger
WikiElimu
05/13/20
#Zacharia_Chacha #Mtoto_wa_jicho #Cataract #WikiElimu
+Mtoto wa jicho (cataract) ni ukungu kwenye lenzi ya jicho unaoathiri uwezo wa kuona. Inaweza kutokea kwa jicho moja au yote, lakini haiwezi kuenea kutoka kwenye jicho moja hadi jingine.
+Kwa kawaida, mtoto wa jicho hupunguza uwezo wa kuona hata wakati wa mchana. Watu wengi wenye mtoto wa jicho, huwa na matatizo kwenye macho yote mawili, japo jicho moja linaweza kuwa vibaya zaidi ya jingine.
*Website: http://wikielimu.com/index.php....?title=Mtoto_wa_jich kujifunza Zaidi *Facebook:https://web.facebook.com/WikiElimu/?_rdc=1&_rdr *Instagram:https://www.instagram.com/wikielimu/ *Twittwer:https://twitter.com/hashtag/wikielimu
*Music credit:https://www.free-stock-music.com/
-
Kategori
Vis mere
Facebook kommentarer
Ingen kommentarer fundet