Salamu za RC Mwanza kwenye kilele cha Ufunuo wa Matumaini

95 Ansichten
Mtemisi
Mtemisi
06/25/19

Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhe.John Mongella jana alimwakilisha Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa kwenye kilele cha mkutano wa injili wa Ufunuo wa Matumaini ulioandaliwa na kanisa la Waadventista Wasabato Kanda ya Nyanza Kusini.

Baada ya kusoma hotuba ya Mhe.Majaliwa, Mhe.Mongella pia alitoa salamu zake kwenye mkutano huo.

Zeig mehr

0 Bemerkungen Sortiere nach

Keine Kommentare gefunden

Facebook Kommentare

Als nächstes